SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI

Published on Sunday 31 October, 2021 01:01:00

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu, OR - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe nakala ya Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa  Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi mara baada ya uzinduzi wa Mwongozo huo uliofanyika Jijini Dodoma Oktoba 29, 2021.

Read 192 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top