SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA CHAKULA NA LISHE KWA WANAFUNZI WA ELIMUMSINGI

Published on Sunday 31 October, 2021 01:00:59

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa  Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi, uliofanyika Dodoma Oktoba 29, 2021. Kulia ni Katibu Mkuu, OR - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Prof. James Mdoe.

Read 175 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top