Wizara ya Elimu na Mafunzo Ya Ufundi inawatangazia watanzania wenye sifa za kitaaluma na hamu ya kusoma
kutuma maombi ya skolashipu zilizotolewa na serikali ya pakistan za shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Comsats Institute of Information Technology (CIIT) cha nchini pakistan.
Maelezo zaidi kuhusu namna ya kujiunga, tarehe ya kuanza masomo, fomu za maombi na ufadhili tafadhali bofya hapa
Ni imani yetu kuwa wale wenye sifa watatuma maombi yao mapema
Imetolewa na
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
S.L.P. 9121,
7 Mtaa wa Magogoni,
11479 DAR ES SALAAM.