MKENDA AONGOZA KIKAO KUJADILI MKAKATI KABAMBE UJENZI VETA 63 ZA WILAYA
Published on Wednesday 30 November, 2022 08:26:39
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof. Adolf Mkenda akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja kati yake Menejimenti ya Wizara na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kujadili rasimu ya Mkakati wa ujenzi wa Vyuo 63 vya VETA Wilaya
Read
328
times