Hongera Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutunukiwa Shahada ya juu ya heshima ya Udaktari (Doctor of Letters Honoris Causa) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Published on Wednesday 30 November, 2022 17:46:26
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wakifurahia jambo wakati wa mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Read
482
times