WyEST Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia kutoka Afrika Kusini Dkt. Bonginkosi Nzimande