WAZIRI WA FINLAND AMTEMBELEA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Published on Wednesday 01 February, 2023 19:09:34
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akisalimiana na Waziri wa Finland anaeshughulikia masuala ya Uchumi Mhe. Mika Lintila wakati alipomtembelea ofisi kwake jijini Dodoma
Read
485
times