WAZIRI MKENDA ATEMBELEA TAASISI YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU CHUO KIKUU NORTHANMPTON-UINGEREZA

Published on Wednesday 25 May, 2022 20:57:39

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi William  Lohay na Azaria Chongeri ambao ni watumishi kutoka DIT kampasi ya Mwanza wanaosoma kwenye  Taasisi inayojishughulisha na Teknolojia na ubunifu wa mazao yatokanayo na ngozi ya Chuo Kikuu cha Northampton nchini Uingereza

Read 211 times

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Government City
  • Mtumba Area - Afya Street
  •               P.O.Box 10
  •               40479 Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    info@moe.go.tz
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
Tanzania Census 2022