WAAZIRI WA FINLAND AMTEMBELEA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Published on Wednesday 01 February, 2023 19:05:31
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwa katika kikao cha pamoja na Waziri wa Finland anaeshughulikia masuala ya Uchumi Mhe. Mika Lintila wakati alipomtembelea ofisi kwake jijini Dodoma kuzungumzia masuala mbalimbali ya elimu.
Read
427
times