KATIBU MKUU MTEULE PROF. NOMBO AAPA KUITUMIKIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Published on Tuesday 28 February, 2023 08:56:41
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Carolyne Ignatius Nombo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Read
503
times