Alhamisi, 28 Januari 2021 00:16

Tunafatilia kwa makini wasilisho

Mwenyekiti wa Kamati Mpya  ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakifuatilia uwasilishwaji wa Muundo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Akwilapo (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini Dodoma.

Read 286 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…