Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (aliyesimama) akizungumza katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao cha kwanza kilichofanyika Jijini Dodoma.
Alhamisi, 28 Januari 2021 00:14