Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, akionyeshwa baadhi ya majengo yanayojengwa katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha Wilaya ya Karagwe wakati alipofika Chuoni hapo kushuhudia makabidhiano ya Chuo hicho kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kwenda VETA
Jumatatu, 11 Januari 2021 04:40