Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako (wa pili kulia) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya China, Wang Yi (wa pili kushoto) wakikata utepe kuzindua Chuo VETA cha wilayani Chato, mkoani Geita. Wengine ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi Veta, Peter Maduki (wa kwanza kushoto)