Jumapili, 27 Septemba 2020 16:53

KAMUSI YA KWANZA YA LUGHA YA ALAMA YA KIDIJITALI YA TANZANIA YAZINDULIWA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Kamusi ya kwanza ya Lugha ya Alama ya kidijitali ya Tanzania na Mwongozo wa Utekelezaji wa Mtaala wa Elimu ya Sekondari kwa wanafunzi viziwi wakati wa kikele cha maadhimisho ya wiki ya viziwi yaliyofanyika Mkoani Tabora

Read 877 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: 
  •               Mtaa wa Afya - Mtumba
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…