Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Kukuza na Kuendeleza Kisomo na Elimu kwa Umma uliozinduliwa hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
Jumamosi, 26 Septemba 2020 16:11