TAFADHALI JAZA DODOSO HILI NA UTUTUMIE KWENYE BARUAPEPE: Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
DODOSO HILI NI KWA AJILI YA KUIWEZESHA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUPATA MAONI KUTOKA KWA WADAU YATAKAYOWEZESHA WIZARA KUBORESHA MKAKATI WA MAWASILIANO AMBAO NI MWONGOZO KATIKA KUTOA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE KWA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI NA NJIA NYINGINE ZA MAWASILIANO.