Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leornad Akwilapo akijadili jambo na Mkuu wa Kitengo cha Elimu wa Benki ya Dunia Dkt. Xiaoyan Liang katika Kikao cha kujadili Mradi wa kuketa mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Jumatatu, 25 Novemba 2019 17:04