Jumapili, 21 Julai 2019 10:21
WAZIRI AZUNGUMZA NA WANAFUNZI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliofika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kutembelea maonesho ya 14 ya elimu ya juu.