Alhamisi, 25 Oktoba 2018 12:53

MAJINA YA WATANZANIA WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO JAMHURI YA ALGERIA MWAKA WA MASOMO 2018 – 2019

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawapongeza wanafunzi wote waliopata fursa za ufadhili wa masomo kutoka Serikali ya Jamhuri ya Algeria kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Wanufaika wote mnatakiwa kuzingatia maelekezo muhimu ili kufanikisha safari yenu ya kwenda masomoni.

 

Maelekezo Muhimu

Wanafunzi wote wanatakiwa kukamilisha maandalizi ya safari kwenda masomoni nchini Algeria kwa kufanya mambo yafuatayo:

 1. Kila mwanafunzi anatakiwa kuwasilisha “passport” yaani hati ya kusafiria ubalozi wa Algeria kwa ajili ya VISA.
 2. Kulipa USD 50 kwa ajili ya VISA. Ada ya VISA italipwa ubalozi wa Algeria.
 3. Awe na picha passport size 3 zenye kivuli cheupe.
 4. Tarehe ya safari ni kati ya tarehe 5 – 11/11/2018.

NB: Iwapo mnufaika atakuwa na changamoto awasiliane na Mratibu Bwana L. Malili Na. ya simu ni 0715 50047.

NA NAMBA YA USAJILI

JINA LA

MWANAFUNZI

JINA LA CHUO PROGRAMMU
1 8TZA4703 Kassim Adila Ally University of Science and Technology in Oran Science and Technology
2 8TZA4701 Oscar Gomba University of Constantine 1 Natural Science and life
3 8TZA4626 Mkumbo Nakembetwa John University of Setf 1 Natural Science and Life
4 8TZA4375 Faru Suhayrnan R George University of Science and Technology in Blida 1 Science and Technology Science
5 8TZA4126 Masige Goodluck Stephano University of Constantine 1 English
6 8TZA4118 Ngwenya Alfonce Simon University Sidi Bel Abbes English
7 8TZA4132 Malekela Yonathani Frank University of Constantine 1 Veterinary Science
8 8TZA4175 Mohamed Ali Mlenge University of Tlemcen Science and Technology
9 8TZA4182 Mwakikuti Ezra George University of Blida 1 Veterinary Science
10 8TZA4165 Malemo Francisca Masatu University of Science and Technology in Oran Hydraulic
11 8TZA4172 Kabyazi Edibily Egbert University of Bejaia Economic Science Management and Trade
12 8TZA4039 Hussein Mariam Ismail University of Constantine 1 English
13 8TZA4122 Meza Ismail Omary University of Oran 2 English

Imetolewa na:

Katibu Mkuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,

25/10/2018

Read 1191 times

Video News

Contact

 • Name:    Permanent Secretary
 • Address: Block 10
 •               College of Business Studies and Law
 •               University of Dodoma (UDOM)
 •               P.O.Box 10
 •               Dodoma
 • Tel:        +255 26 296 3533
 • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
 • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…