Ministry of Education and Vocational Training

ORODHA YA WALIMU DARAJA LA TATU MWAKA 2013 | Print |
ORODHA YA WALIMU DARAJA LA TATU MWAKA 2013 WALIOPANGIWA KWENYE
HALMASHAURI ILI KUJAZA NAFASI ZILIZOACHWA  WAZI

Waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Wanatakiwa kuripoti tarehe 31/5/2013.kwenye Ofisi za
Wakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi baada ya kuhakikiwa
vyeti vyao. Kila mwalimu anatakiwa kwenda kwenye Halmashauri alikopangwa akiwa na VYETI
vyake halisi kwa ajili ya uhakiki. HAKUNA MABADILIKO YATAKAYOFANYWA. Mwalimu
ambaye hataripoti ifikapo tarehe 15/6/2013 atapoteza nafasi hiyo.

icon SAME FINAL IIIA APRIL 2013 KUJAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
 

Search School

You are here  : Home