Ministry of Education and Vocational Training

ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013 | Print |
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013

icon ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013 (1.17 MB)

MAELEKEZO MUHIMU
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012.
Kwa wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction) kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila kukosa.
Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1.Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika.
2. Ada kwa mwaka ni shilingi 200,000/=. (Muhula wa kwanza shilingi 100,000/= na muhula wa pili shilingi 100,000/=).
3.Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya chuo husika .
4. Fedha za matumizi binafsi.
Aidha, kila Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo

 
You are here  : Home