|
MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KUFIKIA TAREHE 30 JUNI, 2012 |
| Print | |
TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KUFIKIA TAREHE 30 JUNI, 2012. MALIPO YA MADAI YA WALIMU YAMEINGIZWA KWENYE AKAUNTI ZAO ZA BENKI KAMA ZINAVYOONEKANA KATIKA 'PAYROLL'.
MALIPO YOTE YA MIRATHI YAMEPELEKWA AIDHA, KWA MSAJIRI WA MAHAKAMA YA RUFAA DAR ES SALAAM KWA MIRATHI ZILIZOFUNGULIWA KATIKA MAHAKAMA ZA DAR ES SALAAM NA KWA MIRATHI ZILIZOFUNGULIWA MIKOANI FEDHA HIZO ZIMEPELEKWA KWENYE OFISI ZA HAZINA NDOGO NA BARUA ZIMESHAANDIKWA KWA WASIMAMIZI WA MIRATHI ILI KUWEZA KUFUATILIA FEDHA HIZO KATIKA MAHAKAMA WALIZOFUNGUA KESI ZA MIRATHI. TAARIFA YA MALIPO YA MADAI YA WALIMU HADI TAREHE 30 JUNI, 2012 (299.65 kB) |