|
AJIRA MBADALA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA MBINGA |
| Print | |
ORODHA YA WALIMU WA AJIRA MBADALA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA MBINGA
Kwa waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Wanatakiwa kuripoti tarehe 24/6/2012 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. Kila mwalimu anatakiwa kwenda kwenye Halmashauri alikopangwa, kwa sababu HAKUNA MABADILIKO YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na VYETI vyake halisi, ambaye hataripoti ifikapo tarehe 8/7/2012 atapoteza nafasi hiyo.
AJIRA MBADALA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA MBINGA (62.31 kB) |