|
ORODHA YA WALIMU WA AJIRA MBADALA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA MKINGA NA NJOMBE(M) |
| Print | |
ORODHA YA WALIMU WA AJIRA MBADALA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA MKINGA MKOANI TANGA NA NJOMBE(M) IRINGA
Kwa waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Wanatakiwa kuripoti tarehe 7/5/2012kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. Kila mwalimu anatakiwa kwenda kwenye Halmashauri alikopangwa, kwa sababu HAKUNA MABADILIKO YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na VYETI vyake halisi, ambaye hataripoti ifikapo tarehe 21/5/2012 atapoteza nafasi hiyo. AJIRA MBADALA MKINGA &NJOMBE FINAL (57.57 kB) |