Ministry of Education and Vocational Training

TAARIFA YA ULIPAJI WA MADENI YA WATUMISHI HADI TAREHE 16 MACHI, 2012 | Print |
dr kawambwa p sizedWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliorodhesha na kuwasilisha Hazina madai ya watumishi yenye thamani ya jumla Shilingi 7,177,043,245.16 kwa ajili ya kuomba fedha za malipo. Madai haya yalijumuisha yale yaliyotokana na mishahara na yasiyotokana na mishahara.


Wizara ya Fedha ilitoa Shilingi 3,267,323,522.88 kwa ‘Exchequer’ Na. 46/EB/AG/159/11/389 ya tarehe 29/12/2011 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa ajili ya kulipa madeni yasiyokuwa ya mishahara.
Naleta kwenu orodha ya waliolipwa hadi kufikia tarehe 16 Machi, 2012. Hata hivyo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaendelea na zoezi la ulipaji wa madeni ya walimu.icon TAARIFA YA ULIPAJI WA MADENI YA WATUMISHI HADI TAREHE 16 MACHI, 2012 (100.14 kB)
 
You are here  : Home