Wahitimu wa chuo kikuu huria kutoka kozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao. mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Bungo-Kibaha mkoani Pwani kilipo chuo hicho.

Waziri  wa Elimu  Sayansi na Teknolojia profesa Joyce Ndalichako akizungumza katika mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria [OPEN UNIVERSITY]yaliyofanyika katika eneo la Bungo-Kibaha Mkoani Pwani ambapo wahitimu zaidi ya  Elfu Nne kutoka kozi mbalimbali walitunukiwa shahada zao.

Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na Mwakilishi mkazi wa benki ya  Dunia Bella Bird kuhusu mchango wa benki ya Dunia katika Maendeleo ya Sekta ya Elimu hapa nchini. Bella Bird anawakilisha nchi za Tanzania,Burundi, Malawi na Somalia.  

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi cheti mmoja wa walimu aliyehitimu mafunzo ya Astashahada ya uongozi na usimamizi wa Elimu kwa njia ya masafa[CELMA-ODL], hivi karibuni mkoani MBEYA. 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na walimu waliohitimu mafunzo ya Astashahada ya uongozi na usimamizi wa elimu kwa njia ya masafa[CELMA-ODL]]Kwa walimu wakuu Zaidi ya 800 kutoka  shule za msingi katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, na Songwe. [walimu hawapo pichani].

Kurasa 3 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…