waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na mmoja wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi ya  BUSOHKELO wakiwa katika darasa linaloongea. Kwa mujibu wa walimu wanaofundisha darasa la kwanza na la pili wameeleza kuwa darasa linaloongea limewsaidia wanafunzi kusoma, kuandika na kuhesabu kwa urahisi Zaidi [KKK] shule ya msingi ipo  Wilayani RUNGWE mkoani MBEYA.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na mkandarasi anaesimamia ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya chuo cha Ualimu cha MPUGUSO, kilichopo wilayani Rungwe mkoani MBEYA ambapo waziri Ndalichako amemtaka mkandarasi kuzingatia viwango vya ujenzi ili majengo yadumu kwa muda mrefu.

Aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Anthony Tarimo akiongea na wajumbe waliohudhuria kikao cha kumuaga baada ya kupata uhamisho. Tarimo ameagwa baada ya kutumikia wizara kwa muda wa miaka sita, nafasi yake inachukuliwa na Ahadi Msangi anayetokea Wizara ya Nishati na Madini. Pembeni mwenye miwani ni Mhasibu Mkuu mpya.

The Ministry of Education, Science and Technology, would like to announce to the general public scholarships opportunities to the qualified Tanzanian Citizens interested to pursue Masters degree programme in the Kingdom of Thailand for the academic year 2017-2018.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mhandisi Stella Manyanya akizumgumza na Mtaalamu mshauri, uendeshaji ujuzi na ajira ofisi ya kanda shirika la kazi duniani ILO Ashwani Aggarwal. alipomtembelea Ofisini kwake 

Kurasa 4 ya 24

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…