News (73)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila amewataka wanafunzi kusoma  kwa bidii, na walimu kufanya kazi kwa kuzingatia maadili

 • Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara kwa Shule za Sekondari na Walimu 2,767 wa Cheti kwa Shule za Msingi.
 • Waombaji kwa shule za Sekondari wawe waliohitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2016 au kabla, na wale wa Shule za Msingi wawe waliohitimu mafunzo yao mwaka 2014 au kabla. 

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha shule

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Kassim Majaliwa amezindua usambazaji wa vifaa vya maabara na vile vya wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika viwanja vya jeshi lugalo, jijini Dar es salaam . 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji Dkt Leonard Akwilapo leo amefungua warsha ya kuanzishwa kwa mradi wa pamoja wa uwezeshaji wa vijana wa kike na wanawake vijana kupitia elimu wenye lengo kuwatafakarisha wilaya lengwa (Ngorongoro, Kasulu, Sengerema,micheweni na mkoani pemba) juu ya vikwazo vya

Jumatatu, 08 Mai 2017 08:05

INVITATION FOR TENDER

INVITATION FOR TENDER NO. ME/024/2014-15/HQ/W/02 FOR

  CONSTRUCTION AND REHABILITATION WORKS AT NDALA (LOT 1) TEACHERS TRAINING COLLEGE (RE TENDERED)

Date 08th May, 2017

 1. This Invitation for Tenders follows the General Procurement Notice which appeared in Daily News Paper dated 28th September, 2014.
Jumapili, 07 Mai 2017 19:24

TAARIFA KWA UMMA: UKANUSHI VYETI FEKI.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaufahamisha umma kuwa taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa baadhi ya wanataaluma wa Vyuo Vikuu vya Mzumbe, Dodoma, Dar es Salaam, Muhimbili na Ardhi pamoja na vyuo vingine ya elimu ya juu kuwa na vyeti feki sio za kweli.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amewataka wanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya sekondari ya wasichana Kondoa kuhakikisha wanasoma kwa bidii na kuachana na mambo ambayo hayana tija kwa maisha yao.
Kurasa 6 ya 10

Video News

Contact

 • Name:    Permanent Secretary
 • Address: Block 10
 •               College of Business Studies and Law
 •               University of Dodoma (UDOM)
 •               P.O.Box 10
 •               Dodoma
 • Tel:        +255 26 296 3533
 • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
 • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…