Jumamosi, 18 Machi 2017 14:11

NAIBU WAZIRI AZINDUA VISHKWAMBI.

Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akizindua mfumo wa Elimu kidigitali kwa kutumia  Vishkwambi (TABLETS) Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akizindua mfumo wa Elimu kidigitali kwa kutumia Vishkwambi (TABLETS)

Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya amewataka wadau wa Maendeleo ndani na nje ya nchi kuangazia maeneo ya vijijini kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo kuangazia maeneo ya mijini zaidi.

Mheshimiwa Manyanya ametoa kauli hiyo hii leo katika shule ya msingi ya Olympio wakati akikabidhi vishkwambi (tablets)ambavyo vinatarajiwa kusambazwa katika shule mbalimbali za jijini Dar es salam.

Mhandisi Manyanya amesema umefika wakati sasa mradi wa majaribio kama huu wa Elimu kwa njia ya TEHAMA upelekwe hadi maeneo ya vijijini na siyo kubakia kwenye maeneo ya mijini pekee.

Naibu Waziri manyanya pia amewataka walimu kuhakikisha vifaa hivyo vinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa hasa ya kuwafundishia wanafunzi.

Read 774 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…