Jumapili, 08 Januari 2017 23:10

Waziri wa Elimu azindua maabara ya hisabati

Waziri wa Elimu profesa Joyce Ndalichako akizungumza na mmoja wa mwanafunzi wa shule ya Shaban Robert wakati wa uzinduzi wa maabara ya hisabati shuleni hapo, ambapo waziri amepongeza utaratibu huo ambao unatoa chachu kwa wanafunzi kujifunza kwa bidii masomo y sayansi hasa katika kipindi hiki ambapo nchi inaelekea kwenye uchumi wa viwanda.

Read 976 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…