Jumatatu, 09 Januari 2017 17:17

Waziri wa Elimu azindua maabara ya hisabati

Waziri wa Elimu, sayansi na Teknolojia Profesa joyce Lazaro Ndalichako leo amezindua ‘maabara ya hisabati’ katika shule ya sekondari ya Shaaban Robert iliyopo jijini Dar es salaam. Maabara ya hisabati ni programu soft ware ambayo inamuwezesha mwanafunzi kujifunza somo la hisabati kupitia mtandao akiwa popote. Programu hii inamsadia mwanafunzi kujifunza bila mwalimu.

Read 907 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: P.O.Box 9121
  •               7 Magogoni Street
  •               11479 Dar es salaam
  • Tel:        +255 22 211 3139
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…