Kaimu Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi Mhandisi Enock Kayani akifafanua jambo kwa timu ya Wataalam kutoka Kampuni ya Kichina ya Ujenzi (CHINA QIYUAN ENGINEERING CORPORATION) wakati walipotembelea eneo la Mradi katika Kijiji cha Burugo Halmashauri ya Wilaya Bukoba Mkoani Kagera.
Jumanne, 10 Aprili 2018 05:00