Jumatatu, 07 Agosti 2017 14:00

MAZUNGUMZO YA KUBORESHA ELIMU YAFANYIKA KATI YA WAZIRI WA ELIMU NA BALOZI WA SWITZERLAND.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesisitiza umuhimu wa kuboresha vyuo vya ufundi ili vijana wanaomaliza waweze kuwa na uwezo na ujuzi wa kujiajiri pamoja na kufanya kazi katika viwango vinavyokubalika.

Ndalichako ameyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na balozi wa Swirtzerland nchini Tanzania Florence Mattli katika ofisi za wizara hiyo zilizopo jijini Dar esa laam ambapo Swirtzerland imekubali kuboresha, kuisaidia Tanzania katika kuboresha vyuo vya ufundi kama vile VETA na FDCs. 

Read 1311 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…