Ijumaa, 14 Julai 2017 12:59

Ukaguzi wa ujenzi wa madarasa.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wasimamizi wa ujenzi wa madarasa, mabweni na miundombinu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Mbweni tete. Naibu Waziri amemtaka mkandarasi wa ujenzi huo kuhakikisha anamaliza ndani ya mwezi mmoja ili kuwezesha shule hiyo kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu.

Read 1760 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…