Ijumaa, 16 Juni 2017 16:11

BAADHI YA WATUMISHI WA WIZARA PAMOJA NA WANAKIJIJI WAKIFUATILIA HOTUBA.

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiwa pamoja na wananchi wa kijiji cha Humekwa wakifuatilia  maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, yaliyofanyika Wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Maadhimisho hayo yalipambwa na ngoma za kiutamaduni, kwaya na  sarakasi.

Read 1519 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…