Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya mafundi aliowakuta wakiendelea nà ujenzi wa Chuo cha VETA Uvinza