Thursday, 21 July 2016 17:49

Taarifa kwa Umma: Kwa wale wenye maswali kuhusu wanachuo 7,805 wa UDOM

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivi karibuni ilitoa uamuzi kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.


Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo kumekuwa na maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara kufuatia uamuzi huo. Hivyo Wizara inawataarifu wale wote wenye maswali ama wanaotaka ufafanuzi wawasiliane na Wizara kwa kutumia namba 0784307462 au barua pepe  This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Imetolewa na:

Katibu Mkuu

Read 3340 times

Video News

Contact

  • Name:    Permanent Secretary
  • Address: Block 10
  •               College of Business Studies and Law
  •               University of Dodoma (UDOM)
  •               P.O.Box 10
  •               Dodoma
  • Tel:        +255 26 296 3533
  • Email:    This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
  • Zonal SQA Offices Contacts
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…