TAFADHALI JAZA DODOSO HILI NA UTUTUMIE KWENYE BARUAPEPE: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
DODOSO HILI NI KWA AJILI YA KUIWEZESHA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUPATA MAONI KUTOKA KWA WADAU YATAKAYOWEZESHA WIZARA KUBORESHA MKAKATI WA MAWASILIANO AMBAO NI MWONGOZO KATIKA KUTOA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE KWA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI NA NJIA NYINGINE ZA MAWASILIANO.