Idara ya Utawala na Utumishi inafanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, taratibu na sera zilizowekwa kuendeshea Wizara ya Elimu na Utamaduni. Katika kulifanikisha hili Idara imegawanywa katika Sehemu kuu tatu, Sehemu ya Utawala, Utumishi na sehemu ya Sheria. Katika kuyafanikisha malengo ya Wizara ya Elimu na Utamaduni Idara imeyagawa majukumu yake kupitia kwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi {DAP} na Mwanasheria wa Wizara;
S/N
|
HUDUMA |
MAHITAJI KUTOKA KWA MTEJA |
TEGEMEO |
MUDA |
MHUSIKA |
01. |
Ajira |
- Barua za maombi.
- Vyeti vya Elimu & Ujuzi.
- Picha (P/P) O2
- CV.
|
- Upatikanaji wa vibali vya ajira kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi.
|
Miezi 2
|
Tazama mgawanyo
wa kazi. |
02. |
Barua za Posting |
HAKUNA
|
- Kushinda usaili.
- Nafasi wazi katika vituo vya kazi.
|
Siku 14
|
“ |
03. |
Barua za ajira ya muda pamoja na Usajili kwenye Payroll ya Serikali. |
- Barua za kuripoti vituoni kutoka kwa wasimamizi wa vituo husika.
- Nakala 3 za Revised EBI Form zilizojazwa kikamilifu sehemu “A” na “B.”
- Nakala 02 za Personnel Data Form zilizojazwa kikamilifu.
|
|
Mwezi 1 |
“ |
04. |
Barua za ajira ya kudumu na Pensheni. |
- Barua za kuripoti vituoni kutoka kwa wasimamizi wa vituo husika.
- Nakala 3 za Revised EBI Form zilizojazwa kikamilifu sehemu “A” na “B.”
- Nakala 02 za Personnel Data Form zilizojazwa kikamilifu.
|
- Kikao cha Kamati Maalum ya Ajira ya Wizara.
|
Miezi mitatu (3). |
“ |
05 |
Kuthibitishwa kazini. |
- Utendaji kazi ulio na matokeo wa miaka 2.
|
- Kikao cha Kamati Maalum ya Ajira ya Wizara.
|
Miezi 6 baada ya kumalizika muda wa majaribio. |
“ |
06. |
Uhamisho wa watumishi kutoka kituo kimoja hadi kingine. |
- Barua za maombi ya uhamisho zilizopitishwa na wasimamizi wa vituo.
- Viambatisho muhimu vinavyoonesha sababu ya ombi la uhamisho.
|
- Nafasi wazi katika kituo kinachoombwa.
|
Siku 14 |
“ |
07. |
Kupandishwa vyeo watumishi. |
- Utendaji kazi ulio na matokeo.
- Vyeti vya kufaulu mitihani husika ya Serikali kufuatana na miundo ya utumishi ya kada husika.
|
- Nafasi wazi zilizotenge wa fedha katika bajeti.
|
Miezi 6 baada ya kutimiza masharti ya kupanda cheo. |
“ |
08. |
Mafunzo kwa watumishi. |
- Barua za maombi ya mafunzo zilizopitishwa na wasimamizi wa vituo na Idara husika.
|
- Umuhimu wa mafunzo katika kuboresha utendaji wa kazi.
- Mpango wa mafunzo wa Idara husika.
|
Siku 14 |
“ |
09. |
Vibali vya kuhudhuria masomo. |
- Barua za maombi ya kupewa kibali zilizopitishwa na mkuu wa Idara.
- Barua ya kuitwa chuoni .
|
Uthibitisho wa nafasi na fedha za mafunzo zilizoidhinishwa. |
Siku 14 |
“ |
10. |
Marekebisho ya mishahara. |
- Barua za kupandishwa vyeo.
- Barua za kukubali vyeo zilizopitishwa na wakuu wa vituo.
|
|
Siku 14 |
“ |
11. |
Fidia ya ajali kazini |
|
|
Miezi 6 |
“ |
12. |
Malipo ya mirathi |
- Cheti cha kifo.
- Hati ya Usimamizi wa mirathi.
- Muhtasari wa kikao cha uteuzi wa msimamizi wa mirathi.
- Picha 3 PPs za Msimamizi wa mirathi zilizogongwa muhuri wa mahakama nyuma.
- Kiapo cha mtu anayetunza watoto wa marehemu.
- Vyeti vya kuzaliwa watoto wa marehemu na picha 03 PPS kila mmoja zenye muhuri wa mahakama.
- Hati ya Ndoa.
- Anuani ya Msimamizi wa mirathi.
|
|
Miezi 3
|
“ |
13. |
Malipo ya mwisho wa ajira. |
- Barua ya kutoa taarifa ya kustaafu kipindi kusichopungua miezi 06.
|
|
Miezi 6 |
“ |
14. |
Vibali vya kuazimwa (Secondment). |
- Barua za kuomba kuazimwa kutoka kwa mtumishi.
- Uthibitisho wa kuomba kuazimwa kutoka kwenye Taasisi/Shirika husika.
|
|
Mwezi 1 |
“ |
15. |
Ajira za wataalamu wa Kigeni. |
- Maombi ya ajira katika shule husika.
- Curriculum vitae (CV) Maelezo Binafsi).
- Vyeti vya Elimu & Ujuzi.
|
|
Mwezi 1 |
“ |
16. |
Udhamini wa mikopo. |
- Barua na Fomu za maombi ya mikopo toka Taasisi mbalimbali zenye kukopesha.
|
|
Siku 7 |
“ |
17. |
Kuthibitisha taarifa za wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya na kutoa vitambulisho vya wahusika. |
- Fomu za bima ya afya zilizojazwa kikamilifu.
- Picha tatu (03) P/PS za wahusika.
|
|
Miezi 3 |
“ |
18. |
Kubadili jina. |
- Uthibitisho wa Vizazi na Vifo au Kamishna wa Viapo {Registrar of Births and Deaths}
- Hati ya Ndoa.
- Personnel Data form iliyokamilishwa.
|
|
Siku 14 |
“ |
19. |
Ushauri nasaha na unasihi |
- Mtumishi kueleza matatizo yake kwa usahihi na kwa uwazi.
- Nyaraka (documents) za uthibitisho kama ni muhimu.
|
|
Dakika
15 |
“ |
20. |
Likizo kwa Watumishi. |
- Form za likizo zilizojazwa na kukamilika.
- Barua ya maombi ya msaada wa nauli yenye kuonyesha mchanganuo.
|
- Malipo ya msaada wa likizo mara moja kila baada ya miaka 2.
- Mzunguko wa likizo uliokasimiwa fedha.
|
Siku 7 |
“ |
21 |
Kutoa hati za matibabu kwa watumishi walio katika masharti ya OS na kurejesha gharama za matibabu. |
- Hati ya matibabu iliyothibitishwa na Daktari wa Serikali.
- Hati ya madai.
|
|
Siku 14 |
“ |