>>introduction |>> Registration of schools and teachers |>> special education| >>Adult and Non-formal Education |>>Education by Radio| >>Environmental Education >>Guidance and counseling HIV Aids
Guidance and Counseling and HIV Aids
MALEZI NA USHAURI NASAHA NA MASUALA YA JINSIA.
- Sehemu ya malezi na ushauri inaratibu huduma za unasihi katika shule na vyuo vya ualimu.
- Tanzania ni mjumbe wa Bodi ya Usimamizi wa Kituo cha Malezi na Unasihi cha nchi za SADC inayoundwa ya mawaziri wa Elimu wa nchi hizo.
- Wawezeshaji 10 wamefuzu katika kituo cha Malawi kuanzia mwaka 1996
- Wanasihi 120 kati yao 70 wanawake na 50 wanaume wamefundishwa na wawezeshaji waliohitimu Malawi .
- Sehemu ya Malezi na Ushauri nasaha imekuwa ikishirikiana na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na unasihi shuleni. Mashirika hayo ni kama vile:-
- UNICEF
- UNESCO
- TANESA
- GT2 – Mbeya
- PASHA – Tanga
- Wizara imeendesha mafunzo ya wawezeshaji wa mafunzo ya unasihi ya wawezeshaji wa mafunzo ya unasihi kikanda – kila kanda wawezeshaji wanne. Hawa wanatarajiwa kuendesha mafunzo ya wanasihi wa shule.
- Wizara imetoa sekula na. 11 ya Mei 2002 inayohusu uanzishaji wa Kamati za Unasihi na UKIMWI katika shule na vyuo.
- Wizara imetayarisha Mwongozo wa uanzishaji na uendeshaji wa huduma za unasihi katika shule na vyuo.
JINSIA
- Wakurugenzi wote walihamasishwa kuhusu masula ya jinsia
- Wizara imetayarisha mwongozo wa shule rafiki kijinsia
- Wakaguzi wakuu wa Kanda na Maafisa Elimu wa Kanda wamepatiwa mafunzo ya jinsia.
Back top |